Chama ni kiongozi kwa kuweka Hisa na Akiba na kuwa na mikopo ya kutosha kuinua maisha ya wanachama.
Chama kina dhamira ya Kupandisha mtaji wa kufanyia kazi kwa kuongeza idadi ya wanahisa, kuwekeza akiba zaidi, kutoa mikopo, kufundisha mbinu za kuinua Uchumi na kuanzisha na kuendesha miradi ili kuongeza ziada kwa wanachama.
Chama kina utaratibu wa kufanya mkutano mkuu wa wanachama kila mwisho wa mwaka.
Soma Zaidi...
Chama cha DLC - SACCOS kilitoa vyeti kwa waanzailishi wa chmama.
Soma zaidi...
Tarehe 23/11/2024 chama cha akiba na Mikopo cha Dovya Lutheran Church Savings and Credit Cooperation Society (DLC-SACCOS) kiliadhimisha miaka 25.
Soma zaidi...
DLC – SACCOS ipo Yombo Dovya katika wilaya ya Temeke mkabala na kanisa la Kilutheri hatua kama 300 kutoka Barabara ya Tandika – Buza. Kituo cha mabasi ni CCM (Chama).